Taarifa ya hatua za mchakato wa uuzaji wa meli 3 za Serikali

UTANGULIZI Shirika la Meli ni Taasisi ya umma inayomilikiwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa asilimia mia moja. Shirika lilianzishwa upya  kwa Sheria nambari 3 ya mwaka 2013 ambayo pamoja na mambo mengine lilipewa jukumu la kusimamia, kutunza na kuendesha Meli za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Hadi hivi sasa, Serikali kupitia Shirika la Meli inamiliki …

Vijana Zanzibar wanavyoitazama Serikali ya Umoja wa Kitaifa

Na Salma Said, Zanizbar - 2022-08-13 Baadhi ya Vijana wamependekeza kuwepo marekebisho ya mfumo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa huku maoni ya kumpa uwezo Makamo wa Kwanza wa Rais yakitofautiana wengine wakisema nafasi aliyonayo inatosha na wengine wakiona haitoshi kubaki kuwa mshauri wa rais pekee. Maoni hayo yametolewa mwishoni mwa wiki katika mdahalo wa …

KAS/ZAFELA kutekeleza Mradi wa TOGETHER FOR PEACE

Na Salma Said, Zanzibar. 12 Agust 2022 Mara baada ya kumalizika uchaguzi wa 2020 kulitokea machafuko ya kisiasa ambayo yalisaabisha vifo kadhaa na majeruhi wa kisiasa yaliotokana na uchaguzi mkuu kama ambavyo yalitokea mwaka 2001 na chaguzi nyengine hapa Zanzibar. Mashirika yasio ya kiserikali yakiwemo yale ya kutetea haki za binaadamu pamoja na mashirika ya …

Wananchi wawe wavumilivu, wakati barabara zikitengenezwa- Mwinyi

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa Saini ya Mradi wa Ujenzi wa Barabara za Juu  (Flyover) katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, kwa upande wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar  amesaini Katibu Mkuu  wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Bi.Khadija Khamis Rajab na kwa upande wa Kampuni ya CCECC kutoka China …